Angalizo
Disclaimer
Hiki kipeperushi kinatoa taarifa, sio ushauri.
Yaliyomo ndani ya kipeperushi hiki yanatoa taarifa kwa ujumla tu. Taarifa hizi hazina lengo la kutoa na hakitatoa, kiasi cha ushauri wa kutegemewa. Taarifa hizi kwa namna yoyote ile sio mbadala wa ushauri kitaalamu.
Unashauriwa utafute mtaalamu husika kabla ya kuchukua, au kujizuia kuchukua hatua kutokana na taarifa zilizomo kwenye kipeperushi hiki.
Kama una maswali kuhusiana na masuala ya matibabu, tafuta ushauri kutoka kwa daktari wako (Gp) au mtaalamu anayetoa huduma za afya bila kuchelewa.
Japokuwa tumefanya juhudi kukusanya taarifa sahihi kwenye vipeperushi hivi na kusasisha taarifa kwenye vipeperushi vyetu, hatufanyi uwakilishi, hatudhamini au kuweka dhamana ama kwa kueleza au kudokeza kwamba maudhui yaliyoko kwenye vipeperushi hivi ni sahihi, kamilifu au ya kisasa zaidi.