Mental health information in Swahili

Kiswahili

Kuhusu sisi

Royal College of Psychiatrists ni chombo cha kitaaluma na kielimu kwa madaktari wa magonjwa ya akili nchini Uingereza. Tunakuza afya ya akili kwa:

  • Kuweka viwango na kukuza ubora katika huduma ya afya ya akili
  • Kuboresha uelewa kupitia utafiti na elimu
  • Kuongoza, uwakilishi, mafunzo na kusaidia madaktari wa akili
  • Kufanya kazi na wagonjwa, walezi na mashirika yao

Elimu kwa umma ni moja ya kazi kuu za Chuo. Tunaamini kwamba kila mtu anahitaji maarifa ili kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya yake.

Nani ameandika habari hii?

Imeandikwa na madaktari wa magonjwa ya akili ambao ni wajumbe wa Jukwaa la Wahariri wa

Elimu ya Umma la Chuo hicho. Wanashirikiana na mtaalam (au wataalam) katika uwanja huo na kuwa na walezi na wagonjwa kudhibiti habari. Tunawashukuru madaktari wa magonjwa ya akili, wafanyakazi wa chuo kikuu, na wengine ambao wamesaidia kutafsiri na kuthibitisha usahihi wa tafsiri hizo.

Hatuwezi kukuhakikishia kwamba tafsiri ndizo taarifa zilizosasishwa zaidi.

Angalizo

Tafadhali tazama kanusho letu, ambalo linatumika kwa tafsiri zote zinazopatikana kwenye tovuti hii.

Mental health information in Swahili

Read more to receive further information regarding a career in psychiatry